1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Vijana Mchakamchaka: Mahusiano kwa mawasiliano mitandaoni

17 Novemba 2023

Mara ngapi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwenza aliyeko mbali nawe kwa kutumiana ujumbe kupitia mitandao ya kijamii? Je, mahusiano hayo yamedumu kwa umbali gani? Je, mitandao imerahisisha mahusiano kuwa mazuri zaidi ama kuwa machafu zaidi? Suleiman Mwiru anazungumza na vijana juu ya mada hii tata.

https://p.dw.com/p/4YGPM