1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Sera mpya ya afya Tanzania

Sudi Mnette
7 Novemba 2023

Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa bima ya afya kwa wote wa mwaka 2022 baada ya kukwama kwa miaka kadhaa. Muswada huu sasa unasubiri kutiwa saini na Rais Samia Suluhu Hassan ili uwe sheria kamili. Katika Kinagaubaga leo Sudi Mnette anazungumza na naibu waziri wa afya wa Tanzania Dokta Godwin Mollel.

https://p.dw.com/p/4YVLT