1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Zipi dalili zinazokuonyesha upo njia sawa na mpenzi wako?

17 Novemba 2023

Mahusiano yana mambo mengi ya kuzingatia ili yaweze kunawiri, kwa mfano heshima kusikilizana, kuwekana wazi, kusameheana na kuvumiliana. Lakini mfano huo ni tofauti baina ya mtu kwa mtu. Vijana Mubashara inauliza je, ni zipi dalili zinazoonyesha kwamba upo kwenye muelekeo mzuri wa mahusiano na mpenzi wako?

https://p.dw.com/p/4Z1df